Sunday, February 8, 2015

MAONESHO YA WAUZAJI WA MASHINE ZA KILIMO NA MIKOPO YA MASHINE.

EFTA TANZANIA LTD WANAKUKARIBISHA KATIKA MAONESHO YA WAUZAJI WA MASHINE ZA KILIMO NA MIKOPO YA MASHINE. NJOO UWEZESHWE: MAWASILIANO: 0762 461 460 EMAIL: ptemu@efta.co.tz LINI! TAREHE: 26, 27, NA 28 FEBRUARI 2015 MAHALI: VIWANJA VYA MAKUMBUSHO YA AZIMIO LA ARUSHA- ARUSHA KIINGILI: BURE PIA KUTAKUWA NA MAFUNZO NA SEMINA KUTOKA KWA WATAALAMU MBALIMBALI WA KILIMO,UJASIRIAMALI NA MASOKO " BURE KABISA" KILA SIKU KWA SIKU ZOTE TATU. EFTA LTD - WANATOA MIKOPO YA MASHINE " BILA DHAMANA" KWA WAJASIRIAMALI NA WAKULIMA. NJOO UWEZESHWE: KWA MAWASILIANO ZAIDI: 0762 461 460 sms 0763846255 EMAIL: ptemu@efta.co.tz cc. tgfaoffice@gmail.com NYOTE MNAKARIBISHWA.

0 comments:

Post a Comment