
Shamba lililoandaliwa huko Mazimbu-Morogoro.
(i) Chagua Mbegu iliyo bora (ii) Tumia ''teknologia'' ya kisasa ( ikiwepo mbolea ya kupandia na kukuzia mbegu) (iii) fanya palizi katika muda muafaka pia (iv) fikiria masoko au namna gani utahifadhi mazao yako vizuri.
Fuatilia habari mbalimbali kupitia tovuti yetu http:/...