EFTA TANZANIA LTD WANAKUKARIBISHA KATIKA MAONESHO YA WAUZAJI WA MASHINE ZA KILIMO NA MIKOPO YA MASHINE.
NJOO UWEZESHWE: MAWASILIANO: 0762 461 460 EMAIL: ptemu@efta.co.tz
LINI! TAREHE: 26, 27, NA 28 FEBRUARI 2015
MAHALI: VIWANJA VYA MAKUMBUSHO YA AZIMIO LA ARUSHA- ARUSHA
KIINGILI: BURE
PIA KUTAKUWA NA MAFUNZO NA SEMINA KUTOKA KWA WATAALAMU MBALIMBALI WA KILIMO,UJASIRIAMALI NA MASOKO " BURE KABISA" KILA SIKU KWA SIKU
ZOTE TATU.
EFTA LTD - WANATOA MIKOPO YA MASHINE " BILA DHAMANA" KWA WAJASIRIAMALI NA WAKULIMA. NJOO UWEZESHWE:
KWA MAWASILIANO ZAIDI: 0762 461 460 sms 0763846255 EMAIL: ptemu@efta.co.tz cc. tgfaoffice@gmail.com
NYOTE MNAKARIBISHWA.
No comments:
Post a Comment